Partnering with the Private Sector Energizing Rural Transformation

Mobilizing the Private Sector for Rural Energy Projects
Latest News
Wednesday, April 20, 2016|Views (97)|News, Announcements, Press Releases

UFAFANUZI WA REA KUHUSU TAARIFA ZILIZOTOLEWA KWENYE MAGAZETI YA JAMBO LEO NA MWANAHALISI YA IJUMAA TAREHE 15 APRILI 2016, NA HABARI LEO...

Wakala wa Nishati Vijijini unatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa zilizoandikwa kwenye magazeti ya Jambo Leo na Mwanahalisi ya Ijumaa Tarehe 15 Aprili 2016 pamoja na Gazeti la Habari Leo la Jumamosi Tarehe 16 Aprili 2016.

Tuesday, March 22, 2016|Views (421)|News, Announcements, Business

REVIEWED GENERAL PROCUREMENT NOTICE (GPN) FOR 2015/2016 FINANCIAL YEAR

The Rural Energy Agency is now issuing the Revised General Procurement Notice for the purpose of informing Bidders, Suppliers, Service Providers and General Public on tender opportunities during Financial Year 2015/2016.

Monday, March 21, 2016|Views (372)|News, Announcements, Press Releases

KIKAO CHA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROF. SOSPETER MUHONGO NA WAKANDARASI WANAOTEKELEZA MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI AWAMU YA...

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (MB) ameandaa kikao cha siku tatu kwa ajili ya kukutana na wakandarasi wakubwa (Main Contractors) na wakandarasi wadogo (Sub-Contractors) wanaotekeleza miradi ya kusambaza umeme vijijini Awamu ya Pili tarehe 29 hadi 31 Machi, 2016.

Friday, March 11, 2016|Views (476)|News, Announcements

Norway’s Deputy Minister for Foreign Affairs visits Tanzania Domestic Biogas Programme

The Norwegian Deputy Minister for Foreign Affairs, Ms. Tone Skogen visited the Tanzania Domestic Biogas Programme (TDBP) as part of her official visit to Tanzania.

RSS
Featured Stories

MEM NEWS BULLETTIN: REA YATAKA USHIRIKIANO TAASISI ZA KIFEDHA, SEKTA BINAFSI

Friday, August 7, 2015|Views (1702)
MEM NEWS BULLETTIN: REA YATAKA USHIRIKIANO TAASISI ZA KIFEDHA, SEKTA BINAFSI
"Serikali peke yake haiwezi kufanya kazi hiyo tunahitaji kushirikiana na Sekta Binafsi, Taasisi za Kifedha na Washirika wa Maendeleo. Uhakika wa umeme utawezesha wananchi wengi zaidi kujiingiza katika shughuli za kiuchumi” Dkt. Lutengano Mwakahesya

MOBILIZING THE PRIVATE SECTOR FOR RURAL ENERGY PROJECTS

Wednesday, July 29, 2015|Views (2020)
MOBILIZING THE PRIVATE SECTOR FOR RURAL ENERGY PROJECTS
Working session on "Partnering with private sector and financial institutions in energizing rural transformation" organized by the Rural Energy Agency.

RSS
Events Calendar
«May 2016»
MonTueWedThuFriSatSun
2526272829301
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
303112345